Home > Uncategorized > Kweli Uswahilini Kuna Vituko!!!!

Kweli Uswahilini Kuna Vituko!!!!

Huyu dada pichani mchana wa jana huko Magomeni kaenda kumsuta shoga yake kisa,Huyu dada na huyo shoga yake walikuwa ni maswahiba wa kufa na kuzikakiasi kwamba mpaka pamba (nguo) wakawa wanaazimana,sasa huyo shoga yake aliolewa siju za hivi karibuni, na baada ya kuolewa akawa analalamika kuwa bidada huyo hapo pichani anamuonea wivu sana yeye kuolewa kiasi kwamba wakawa wanachuniana hata simu hawapigiani.Maneno yakamfikia mwanadada huyo hapo pichani…,hapo ndipo mbilinge lilipoanza na ndio bidada huyu kukusanya watu na kukodi matarumbeta kwenda kumsuta yule shoga yake.

msela akiselebuka zake kwa raha zake katika kusherehekea usutaji huo
mpiga tarumbeta akiwa mzigoni kusaka zake mahela
goma limenoga

mtaani ilikuwa ni full furaha(sasa sijui walikuwa wanafurahi kuona hilo tukio??).hebu bonyezeni HAPA ukaupate umbea kamili kamili.kweli uswahilini ni noumer.

Categories: Uncategorized
  1. February 11, 2010 at 2:33 pm

    Piga uwa hiyo magomeni kwa jinsi panavyoonekana

  1. No trackbacks yet.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Follow

Get every new post delivered to your Inbox.

%d bloggers like this: