Home > Uncategorized > Orodha ya PILI ya waliochaguliwa na TCU kujiunga na Vyuo Vikuu

Orodha ya PILI ya waliochaguliwa na TCU kujiunga na Vyuo Vikuu

Ifuatayo ni orodha ya pili iliyotolewa na TCU ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo katika na vyuo vikuu mbalimbali nchini. Orodha hii inajumlisha vyuo vifuatavyo: ARU, WBUCHS, CBE (DSM & DODOMA), CDTI, UDOM, DIT, HKMU, IAA, IFM, IMTU, IUCO, SJCET, SJIIT, KCMCO, KIU, MIST, MUCOBS, MUHAS, MUCO, MMU, MNMA, MU, MWUCE, OUT, na IRDP . Orodha iliyotolewa awali kwa vyuo vingine, tafadhali bofya hapa.

Ukiwa na swali au maelezo yoyote kuhusiana na orodha hii, usiutume ujumbe wako wavuti.com kwani hautashughulikiwa, bali unapaswa kuwasiliana na TCU katika anwani yao:Tanzania Commission for Universities,

P. O Box 6562,
Dar es Salaam.
Phone +255 (0) 22 2772657,
Fax: +255 (0) 22 277289

Categories: Uncategorized
  1. No comments yet.
  1. No trackbacks yet.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Follow

Get every new post delivered to your Inbox.

%d bloggers like this: